Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akha! nawewe uta...?Hahaha miss bwana ngoja waje
[emoji36][emoji36][emoji36]Akha! nawewe uta...?
Inua kichwa basiii...
Kwanini tufunge PM? Ina maana ukija PM kwangu hela inatoka?assume jamii forums ikaanzisha huduma ya pm _pesa. wanaume wote humu si mngefunga pm zenu? maana hizo pm za pmpesa me zingekoma.
mtakuwa mnapigwa mizinga sana na miss chaggaKwanini tufunge PM? Ina maana ukija PM kwangu hela inatoka?
usinunee we napenda ukitabasam e e everyday napenda ukitabasam...[emoji36][emoji36][emoji36]
Mbona sasa hivi tunapigwa mizinga na hatufungi PM?mtakuwa mnapigwa mizinga sana na miss chagga
ohooo pole sana .tuachane na mizinga kesho idd inakuaje mkuu?Mbona sasa hivi tunapigwa mizinga na hatufungi PM?
Hii ni siku ya kupumzika nyumbani na familia.ohooo pole sana .tuachane na mizinga kesho idd inakuaje mkuu?
aiyaaaa sema kweli?Hii ni siku ya kupumzika nyumbani na familia.
Kwanini nikudanganye?aiyaaaa sema kweli?
kwasababu tu mnaweza sura za wengine kwenye avator, ungeweka sura yako halisi si ajabu hata pm moja usingepata. au nadanganya?assume jamii forums ikaanzisha huduma ya pm _pesa. wanaume wote humu si mngefunga pm zenu? maana hizo pm za pmpesa me zingekoma.
familia ipi utakuwa nayo? baba na mama au mke na watoto?Kwanini nikudanganye?
bitch@workassume jamii forums ikaanzisha huduma ya pm _pesa. wanaume wote humu si mngefunga pm zenu? maana hizo pm za pmpesa me zingekoma.
RRONDO mbona unaniandama jamaan na avatar yanguInua kichwa basiii...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] baby mm sijakuelewa kabisa unamaanisha nini.niweke nambako pm nikutumie japo kalaki mama .assume jamii forums ikaanzisha huduma ya pm _pesa. wanaume wote humu si mngefunga pm zenu? maana hizo pm za pmpesa me zingekoma.