Za j2 dearest.we nina uhakika wa udada wako.Poleni!Sasa ihamie kina dada kuzimia wakaka wanaoweza kua wadada!
Za j2 dearest.we nina uhakika wa udada wako.
Tumewasiliana na madaktari bingwa kuwatibu wanaozimika/kudondoka ili wasije wafia wakina dada wa watu lol!
What is the problem dear j 2 hii ? unaonaje tukaangalie Arsenal kwenye big screen pale Q-bar huku tukinywa wine na tukila chips/meatballs.Dearest uhakika umeupata wapi?Hata wenzio waliongizwa choo cha kiume wakati walitaka cha kike walikua na uhakika!Oh alafu jpili mbaya kama jtatu vile!
What is the problem dear j 2 hii ? unaonaje tukaangalie Arsenal kwenye big screen pale Q-bar huku tukinywa wine na tukila chips/meatballs.
Hata post zako siku hizi zinaonesha huna furaha i need the old happy Liz back,cheers.Hata hamu sina dearest!Ngoja nilale....
Huduma ya kuzimikia/kudondokea kinadada humu JF imesitishwa kwa muda hadi hapo mtakapotangaziwa tena baada ya jamaa wawili kuwazimikia njemba ambao wao walidhani ni kinadada,kinakaka wanashauriwa kutozuzuka na avatar za wanachama wa MMU.
easy man as the late Adam Lusekelo would say 'with a light touch' have a nice sunday.jf imekuwa forum ya teenagers this days...
jf imekuwa forum ya teenagers this days...
Ilianza kuwa fashion hahaha!Hahahahahaha! Afadhali manake mi ilshanchosha, kla ukiingia Jf wa2 wamezmika. Unamzimikia mwanaume mwnzio unatgemea nini?
me like your thinking,as Langa would say 'hamna kusikilizia nchi ishauzwa'Mh teenagers wenyewe washa achaga hayo mambo, wanawaza nchi ishauzwa sa ngp watazmikiana?
Aka chumbani siji mpaka unithibitishie jinsia,tuma copy ya birth cert. au passport yako lol!Khaaa
we Uporoto wewe
ndo nini kunivunjia
ridhiki yangu..... chumbani haraka
Mmmhh.
Aka chumbani siji mpaka unithibitishie jinsia,tuma copy ya birth cert. au passport yako lol!
Jamani AD tusubiri uthibitisho bana kuna jamaa hapa alidhani atapata huduma akaishia kutoa huduma hahaha!Mmmhhh
Mama ametoka kidogo
Akirudi ntamuuliza hilo
maana bado sina uhakika na jinsia
sasa chumbani...
Aka chumbani siji mpaka unithibitishie jinsia,tuma copy ya birth cert. au passport yako lol!
Jamani AD tusubiri uthibitisho bana kuna jamaa hapa alidhani atapata huduma akaishia kutoa huduma hahaha!
Jamani AD tusubiri uthibitisho bana kuna jamaa hapa alidhani atapata huduma akaishia kutoa huduma hahaha!
Soma hapo juu mambo ya mtu kusimama nyuma yangu HAPANA lol!Acha uoga kijana, jifunze kutaki riski.
jf imekuwa forum ya teenagers this days...