Huduma ya kuzimikia/kudondokea wadada JF imesitishwa kwa muda.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
Huduma ya kuzimikia/kudondokea kinadada humu JF imesitishwa kwa muda hadi hapo mtakapotangaziwa tena baada ya jamaa wawili kuwazimikia njemba ambao wao walidhani ni kinadada,kinakaka wanashauriwa kutozuzuka na avatar za wanachama wa MMU.
 
Poleni!Sasa ihamie kina dada kuzimia wakaka wanaoweza kua wadada!
Za j2 dearest.we nina uhakika wa udada wako.
Tumewasiliana na madaktari bingwa kuwatibu wanaozimika/kudondoka ili wasije wafia wakina dada wa watu lol!
 
Dearest uhakika umeupata wapi?Hata wenzio waliongizwa choo cha kiume wakati walitaka cha kike walikua na uhakika!Oh alafu jpili mbaya kama jtatu vile!
 
What is the problem dear j 2 hii ? unaonaje tukaangalie Arsenal kwenye big screen pale Q-bar huku tukinywa wine na tukila chips/meatballs.
 
Hata hamu sina dearest!Ngoja nilale....
 
jf imekuwa forum ya teenagers this days...
 
Hahahahahaha! Afadhali manake mi ilshanchosha, kla ukiingia Jf wa2 wamezmika. Unamzimikia mwanaume mwnzio unatgemea nini?
Huduma ya kuzimikia/kudondokea kinadada humu JF imesitishwa kwa muda hadi hapo mtakapotangaziwa tena baada ya jamaa wawili kuwazimikia njemba ambao wao walidhani ni kinadada,kinakaka wanashauriwa kutozuzuka na avatar za wanachama wa MMU.
 
Hahahahahaha! Afadhali manake mi ilshanchosha, kla ukiingia Jf wa2 wamezmika. Unamzimikia mwanaume mwnzio unatgemea nini?
Ilianza kuwa fashion hahaha!

Mh teenagers wenyewe washa achaga hayo mambo, wanawaza nchi ishauzwa sa ngp watazmikiana?
me like your thinking,as Langa would say 'hamna kusikilizia nchi ishauzwa'
 
Khaaa
we Uporoto wewe
ndo nini kunivunjia
ridhiki yangu..... chumbani haraka
Mmmhh.
 
Mmmhhh
Mama ametoka kidogo
Akirudi ntamuuliza hilo
maana bado sina uhakika na jinsia
sasa chumbani...
Jamani AD tusubiri uthibitisho bana kuna jamaa hapa alidhani atapata huduma akaishia kutoa huduma hahaha!
 
Back
Top Bottom