DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hello ,happy new year.
Ukiwa unaumwa jino , unashauriwa kwenda hospital Kwa ajili ya matibabu zaidi .
Ila pia ikiwa upo mbali na hospatli Ila maumivu yamekuzidia Sana .
Chukua maji ya moto changanya na Chumvi baada ya hapo weka mdomoni usukutue Sana kuanzisha dk 5-10
Rudia rudia hilo zoezi kwa mara tatu au nne kwa siku.
Mara nyingi wale backteria wa kinywa ambao hushambulia jino watadhurika na utapata relief fulani kubwa.
Nb Usikose kufika hosptali Kwa matibabu zaidi.
Asante.