masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kwa siku tatu sasa huduma ya Mpesa imekufa!
Tokea jumamosi nimekuwa nikijaribu kutumia huduma hii bila mafanikio.
Cha kushangaza waendeshaji wa huduma hiyo wako kimya as if kila kitu kiko sawa!
Wadau ni mimi tu au kuna wengine wenye tatizo kama langu?
Hela kuwa salama na upatikanaji wa huduma ni vitu viwili tofauti.Na mimi pia nimepata tatizo hilo, ila sasa hivi wamenipa taarifa kupitia sms kuwa nisiwe na wasiwasi, hela ziko salama.
Hela kuwa salama na upatikanaji wa huduma ni vitu viwili tofauti.
Waeleze kuhusu huduma.
Kuna uhusiano gani wa M-PESA na ITV, CHANNEL 5 & TV1? maana nazo leo ni siku ya 3 hazipatikani kupitia kisimbusi cha Star times...
Na mimi pia nimepata tatizo hilo, ila sasa hivi wamenipa taarifa kupitia sms kuwa nisiwe na wasiwasi, hela ziko salama.
Hili ni tatizo kubwa sana .Hela kuwa salama na upatikanaji wa huduma ni vitu viwili tofauti.
Waeleze kuhusu huduma.
Dah afadhali maana mabilioni niliyoyaweka kwenye sim yakipotea itakuwa hatari