Hakuna msemaji wa Vodacom humu JF awaombe radhi waathirika wa hitilafu hii na watumiaji wa huduma ya M-pesa kwa ujumla ?? Fikiria una pesa zako ktk akaunti ya M-pesa, anafanya safari kwenda sehemu ukitegemea hela ya kula, kulala na nauli ya kurudi utaitoa ktk akaunti yako ya M-pesa... halafu unaishia kukutana na hali kama hii.. Utajisikiaje...!! Vodacom waombeni radhi wateja wenu, plse!