Huduma ya M- -Pesa imekufa

Huduma ya M- -Pesa imekufa

Hakuna msemaji wa Vodacom humu JF awaombe radhi waathirika wa hitilafu hii na watumiaji wa huduma ya M-pesa kwa ujumla ?? Fikiria una pesa zako ktk akaunti ya M-pesa, anafanya safari kwenda sehemu ukitegemea hela ya kula, kulala na nauli ya kurudi utaitoa ktk akaunti yako ya M-pesa... halafu unaishia kukutana na hali kama hii.. Utajisikiaje...!! Vodacom waombeni radhi wateja wenu, plse!
 
Vipi kama ndo imetoka ,yaani pesa hazionekani?.
 
Am on process drafting my litigations claiming compensation for the injuries suffered due to their negligence,only what I beg is more supporters please
 
Wadua msiamini hiI line na wala msiweka pes yenu huko. Kama ni kuweka usiweke pesa nyingi na ni muhim sana kuwa na bank account.
 
Kibiashara huduma ya m pesa kupitia mtandao wa Vodacom imetuharibia, watu wamekuwa wakihangaika kila kona ya nchi kwa Mpesa kutofanya au kusuasau kufanya kazi kwa takriban siku 3.Nafikiri hakuna haja ya advertise M Power wakati huduma mama inatusumbua.If you guys fail please tell us,ili tuhamie mitandao mingine.
 
Wadua msiamini hiI line na wala msiweka pes yenu huko. Kama ni kuweka usiweke pesa nyingi na ni muhim sana kuwa na bank account.

Mwazoni niliona ni kawaida!

Jana yamenikuta! Nilitaka nifanye malipo somewhere nikakwama, nikajiburudishe jioni ikawa kero!

Leo hii, nahamishia pesa zangu zote pale kwa Dr Charles Kimei!

Vodacom hopeless kabisa, walishindwa nini kutoa taarifa?

Nina zaidi ya 1.5m kwenye M-pesa, naenda kuzitoa zoote!
 
Bank zenyewe miyeyusho mda mwingine ndo maana nina account nne katika bank tofauti, nishawahi kuabika
 
Hivi ni wapi tunaweza washtaki hawa VODA coz mpaka leo huduma hakuna na mambo mengi yanakwama.
 
Back
Top Bottom