Huduma ya M-PESA

Huduma ya M-PESA

onyx

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2016
Posts
1,587
Reaction score
1,316
Wanajukwaa habari ya muda,

Naomba kuuliza, huduma ya mpesa unakuwa na line moja ya kazi au lazima uwe na laini mbili

Mwenye ufahamu tafadhali anijulishe
 
Laini za zamani zilikuwa mbili. Ila sasa wameacha kutoa mbili. Inatoka moja tu.
 
Laini za zamani zilikuwa mbili. Ila sasa wameacha kutoa mbili. Inatoka moja tu.

Mkuu asante kwa mchango wako, mana kuna mtu kaniambia ni lazima ziwe mbili, ukiwa na moja umetapeliwa
 
Back
Top Bottom