Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Yuko mafichoniNileteeni Gwajima
Mkiandikwa maelezo marefu na magumu mnalalamikaGo deep man a serious issue y disscusd it like a petty issue
Mh. Rais mpaka sasa kura yangu umeshapataNIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA
Mleteeni hivyo hivyoYuko mafichoni
Kamlete weweMleteeni hivyo hivyo
Toa locationKamlete wewe
Itafute weweToa location
Dogo ingekuwa vema ujishughulishe na kilimo cha bustani mbogamboga hapo uwani Kwa shemeji mume wa dada yako.NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA
- Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza
- Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea
- Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya kuchemsha mbona nchi nyingine wameweza
- Maeneo ya mashamba watakuwa na mfumo wa maji ya kumwagilia
Zifuatazo ni mbinu ntakazotumia kuhakikisha huduma ya maji inakuwa ya uhakika ni kupima nchi nzima moja ya sababu ya kuwepo kwa ugumu wa kusambaza maji ni uwepo wa squatter na itakuwa ni LAZIMA KUFUATA MIPANGO MIJI
faida za mipango miji
- Itakuwa ni rahis sana kuvutia watu maji kwa kufuata mipango miji
- Itakuwa ni rahis sana kufanya maintenance
- Mabomba yanayotumika kupitishia maji yatakuwa na ubora mkubwa sana
- Njia za mambomba ya maji zitajengewa kisasa na sio tu kuchimbiwachimbwa juu juu kama ilivyo sasa
Kuna lingine umesahau????Dogo ingekuwa vema ujishughulishe na kilimo cha bustani mbogamboga hapo uwani Kwa shemeji mume wa dada yako.
Sauh'waah?
C'mon get that weirdass moving!
Hii ni debateHoja zako nzuri Sana
Ila kwanini huduma Kama Maji ,umeme ,Afya pamoja na Elimu zisiwe zinatolewa bure?.
Uzi unahusiana na kuboresha huduma ya majiNiliona uzi wako unatafuta mchumba wa kike (first lady ajae). Vipi ushapata mkuu?
Ni swali tu mkuu, sio vibaya ukijibu.Uzi unahusiana na kuboresha huduma ya maji
Sio mahali pakeNi swali tu mkuu, sio vibaya ukijibu.