peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Kuna sehemu, chunya, Huko Matondo & Itumbi, watoto wa form four hawajawahi kuona Bomba kwa macho!Kwa hili la maji idara ya maji wanajitahidi kwa kiasi chake kwenye maeneo korofi angalau sasa hivi baadhi ya maeneo wanapata siku 2/7 tofauti na zamani!
Mfano maeneo gani?Kwa hili la maji idara ya maji wanajitahidi kwa kiasi chake kwenye maeneo korofi angalau sasa hivi baadhi ya maeneo wanapata siku 2/7 tofauti na zamani!
Inawezekana kabisa!Kuna sehemu, chunya, Huko Matondo & Itumbi, watoto wa form four hawajawahi kuona Bomba kwa macho!
Eneo ninaloishi badala nifuge kuku nimejaza ma tanks ya kutunzia maji kuepuka uhaba uliokuwepo lakini mwaka huu maji yanatoka, yasipotoka simu moja tu kwa wahusika wanafika kurekebisha!Mfano maeneo gani?