Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ha ha ha mkuu, wakubwa hawatakiwi kupata raha?Hukui tu!!!
Itakuwa vizuri sana,kichwa hakiko sawa..
Itakuwa vizuri sana,kichwa hakiko sawa..
Ilo la muhimu sana mkuu,najua kule maigizo huwa ni mengiSafi mkuu ila kuwa na makini na wallet yako
ha ha ha nitafutie mkuuIngependeza zaidi ukamtafuta bebe auto hizo stress. .
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazoefu watatujuza mkuuNgoja na mm nisuburi hapa maana ndio ugonjwa wangu huo
Tupo pamoja maana ni muda kidogo so nataka nikirudi bongo nijue pa kuanziaWazoefu watatujuza mkuu
Inakuwaje mkuu?Nasikia ukiingia kwenye vile vyumba unaweza ukamaliza na vingine humo?
ha ha ha kwa nini mkuu?Hahahahaha yani nikipnaga post yako naanza kucheka kabla
Nipo nje kidogo ya jijiUko mkoa gani uje ofsin kwetu tukufanyie kwa punguzo
ww unazani kushinda nakitaulo kushikwashikwa na mtt wakike mzr mikono laini alafu alfu mnara usisome kweli?Inakuwaje mkuu?