Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Najihisi uchovu sana siku ya leo,kutokana na kuwa bize kwenye majukumu ya kila siku.Nadhani ni bora nikatafute huduma ya 'massage' inaweza kunipunguzia stress sizizokuwa za lazima. Wakuu mnanishaurije kuhusu hilo?