Uchomoke kimya kimya tena šWakuu,
Ukisikia kwenda kuosha vyombo ndo leo, au nichomoke kimya kimya nisirudi?š©š©
CRDB ndiyo majanga zaidiWakuu,
Ukisikia kuahibika ndo leo. Niko kwa mgawaha hapa, nishaagiza chakula nataka kulipia kwa MPesa mtandao haushiki! Na huko iko hivyo au ni kwangu tu?
Ukisikia kwenda kuosha vyombo ndo leo, au nichomoke kimya kimya nisirudi?š©š©
Wewe changamoto yako ni kubwa, natumia app inafanya kazi bila shida yoyote. WapigieBado aisee
Mkiambiwa mtumie App hamko tayri sie wa App maisha ni rahisi sana kuliko jana Vodacom zaidi ya mtandaoWakuu,
Ukisikia kuahibika ndo leo. Niko kwa mgahawa hapa, nishaagiza chakula nataka kulipia kwa MPesa mtandao haushiki! Na huko iko hivyo au ni kwangu tu?
Ukisikia kwenda kuosha vyombo ndo leo, au nichomoke kimya kimya nisirudi?š©š©
šššš Leo ni LeoWakuu,

Wewe changamoto yako ni kubwa, natumia app inafanya kazi bila shida yoyote. Wapigie
Kuna transaction nyingine unatuma pesa msg haileti lakini pesa inakwenda.Nimetumia kote Mkuu, si app wala kawaida! Majina yalikuwa hayatokei, sasa majina yanatokea lkn muamala haukamiliki, na hupati ujumbe - wewe na unayemtumia! Hii itasababisha wengi kufanya double transactions leo!
Kuahibika!Wakuu,