Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

Wakuu,

Ukisikia kuahibika ndo leo. Niko kwa mgahawa hapa, nishaagiza chakula nataka kulipia kwa MPesa mtandao haushiki! Na huko iko hivyo au ni kwangu tu?

Ukisikia kwenda kuosha vyombo ndo leo, au nichomoke kimya kimya nisirudi?😩😩
Mi tayar nishaaibika uku
 

Haiendi! Hata msg sijapokea wala nilipotuma hajapokea, pesa iko vile vile!
 
Wakuu,

Ukisikia kuahibika ndo leo. Niko kwa mgahawa hapa, nishaagiza chakula nataka kulipia kwa MPesa mtandao haushiki! Na huko iko hivyo au ni kwangu tu?

Ukisikia kwenda kuosha vyombo ndo leo, au nichomoke kimya kimya nisirudi?😩😩
mi nakaribia kulala giza na kijumbe ananishusha jina🤣🤣
 
Wakuu,

Ukisikia kuahibika ndo leo. Niko kwa mgahawa hapa, nishaagiza chakula nataka kulipia kwa MPesa mtandao haushiki! Na huko iko hivyo au ni kwangu tu?

Ukisikia kwenda kuosha vyombo ndo leo, au nichomoke kimya kimya nisirudi?😩😩
Tuma namba ya mtandao mwingine, tuokoe jahazi.
 
Wakuu,

Ukisikia kuahibika ndo leo. Niko kwa mgahawa hapa, nishaagiza chakula nataka kulipia kwa MPesa mtandao haushiki! Na huko iko hivyo au ni kwangu tu?

Ukisikia kwenda kuosha vyombo ndo leo, au nichomoke kimya kimya nisirudi?😩😩
Wape no yangu niongee nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…