Hii taarifa umeitoa wapi?Mfumo umerudi na Kuna mabadiliko ,tazama salary slip yako upande wa kushoto juu Kuna namba zimeandikwa pale Kama zimebadilika subiria mshahara mpya mwezi huu kwa maana nyingine unapanda daraja Kama zipo vile vile wewe chapa kazi utaonekana mwaka mwingine