Hii taarifa umeitoa wapi?Mfumo umerudi na Kuna mabadiliko ,tazama salary slip yako upande wa kushoto juu Kuna namba zimeandikwa pale Kama zimebadilika subiria mshahara mpya mwezi huu kwa maana nyingine unapanda daraja Kama zipo vile vile wewe chapa kazi utaonekana mwaka mwingine
Mtaalam thibitisha maelezo yako.
Ikibadilika sub vote ya idara inamaanisha Nini mkuuMimi najua kilichobadilika ni Sub-vote tu ya idara
Mabadiliko ya sub-vote ya idara inamaanisha nini kiongozi?Mimi najua kilichobadilika ni Sub-vote tu ya idara
Utauwa watu mkuu... Mambo nyeti hayaa!!Mfumo umerudi na Kuna mabadiliko ,tazama salary slip yako upande wa kushoto juu Kuna namba zimeandikwa pale Kama zimebadilika subiria mshahara mpya mwezi huu kwa maana nyingine unapanda daraja Kama zipo vile vile wewe chapa kazi utaonekana mwaka mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie msikilizenu huyu mje mlie, hakuna ongezeko la mshahara aiseee ni kwa wale wenye vigezo tu!Mfumo umerudi na Kuna mabadiliko ,tazama salary slip yako upande wa kushoto juu Kuna namba zimeandikwa pale Kama zimebadilika subiria mshahara mpya mwezi huu kwa maana nyingine unapanda daraja Kama zipo vile vile wewe chapa kazi utaonekana mwaka mwingine
Hii ndio June, au June 2022 au una maanisha July?Tungoje hadi June ifike tukachukue Loan statement tuone kama kweli Retention fees imefutwa...
Hii ndio June, au June 2022 au una maanisha July?
Ila hili la VRF limetutesa haswaa, ngoja tuone utekelezaji wa ufutwaji wake.
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Kwa wote mkuu... Ambao tunakatwa na ambao bado...Wakuu mnamaanisha VRF inafutwa hadi kwa sisi tulikuwa tunakatwa au kwa wale walipaji wapya
Nilitaka kumaanisha July this year 2021.Hii ndio June, au June 2022 au una maanisha July?
Ila hili la VRF limetutesa haswaa, ngoja tuone utekelezaji wa ufutwaji wake.
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Roger thatNilitaka kumaanisha July this year 2021.
Ambapo mabadiriko na utekelezaji ya kiserikali hufanyika
Hapa vp nianze kupiga shamra shamra, sherehe na vifijo??? Au kuna balaa huko HESLB maana sitaki kwenda kuchek statement mpaka July ifike[emoji1]Hiyo mpendwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1810676
Bado sina idea kama nini kitabadilika mkuuIkibadilika sub vote ya idara inamaanisha Nini mkuu
Umemaliza mkuuHapa vp nianze kupiga shamra shamra, sherehe na vifijo??? Au kuna balaa huko HESLB maana sitaki kwenda kuchek statement mpaka July ifike[emoji1]View attachment 1810965
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Hawaaminiki wale, naeza enda nikakuta mlima. Ikiwa kweli nitafurahi sana, niwadai loan clearance letter asije akaibuka mwingine turudi MisriUmemaliza mkuu
Unaenda kutafutako nini jamni!, salary slip si ishaonesha hela kwishnei?? We print nyiingi kuonesha trend ya ulipaji weka kwenye file!!Hawaaminiki wale, naeza enda nikakuta mlima. Ikiwa kweli nitafurahi sana, niwadai loan clearance letter asije akaibuka mwingine turudi Misri
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Ukipata clearance letter ndio safi kukata mzizi wa fitna.. Anything can change at any time [emoji355][emoji12]Unaenda kutafutako nini jamni!, salary slip si ishaonesha hela kwishnei?? We print nyiingi kuonesha trend ya ulipaji weka kwenye file!!
May 2021 zinapatkana but ni hovyo kabsaKwanza nilijaribu kutafuta ya may 2021 nikaambiwa no salary slip for selected month.
Leo hii ukifungua salaryslip.mof.go.tz huduma haipatikani kabisa.
What's wrong!?
Hao watu hawaishi kukupa suprise, go there and you will see, utakutana na deni lipo limekaa linakusubiri![emoji2960] Better kuendelea na maisha mengine tu!!!Ukipata clearance letter ndio safi kukata mzizi wa fitna.. Anything can change at any time [emoji355][emoji12]
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Nitaenda July, nikikuta nadaiwa hata kama ni jero, wallah silipi nakula kona kimya kimya.Hao watu hawaishi kukupa suprise, go there and you will see, utakutana na deni lipo limekaa linakusubiri![emoji2960] Better kuendelea na maisha mengine tu!!!