Me nilipigwa kama elfu 15 hivi mkuuKuna hii platform ya kimtandao inayojihusisha na kutoa huduma za kifedha inaitwa SELCOM HUDUMA
Hawana huduma kwa wateja nzuri, kubwa lililonileta kwenu miamala imekwama kwa muda wa wiki moja Sasa hakuna msaada wowote ule tunaoupata imekuwa kero kwa watu wengi.
Nimejaribu kila njia kuwasiliananao lakini hakuna msaada nilioupata .
Naomba mamlaka husika za serikali zitusaidie
Naomba kuwasilisha
Hawa jamaa ni matapeli hata mimi nimepigwa na ni wengi sana wanalia TCRA tcra mko wapi?Kuna hii platform ya kimtandao inayojihusisha na kutoa huduma za kifedha inaitwa SELCOM HUDUMA
Hawana huduma kwa wateja nzuri, kubwa lililonileta kwenu miamala imekwama kwa muda wa wiki moja Sasa hakuna msaada wowote ule tunaoupata imekuwa kero kwa watu wengi.
Nimejaribu kila njia kuwasiliananao lakini hakuna msaada nilioupata .
Naomba mamlaka husika za serikali zitusaidie
Naomba kuwasilisha
Bora ningekuwa nimepigwa hela ndogo hivyoMe nilipigwa kama elfu 15 hivi mkuu
Pole mkuuBora ningekuwa nimepigwa hela ndogo hivyo
Ni mara nne mfululizo pesa zangu zinaishia kupotea huko ,selcom ni wezi sana,pesa ya mwisho yalikua malipo ya kisimbuzi cha biashara dstv,baada tu ya muamala dstv kuurudisha kwa hoja ya kua pesa haitoshi /kifurushi kubadilirishwa mpka leo pesa imenasa selcom huku mtoa huduma halotel akisema hajarudishiwa pesa toka selcomKuna hii platform ya kimtandao inayojihusisha na kutoa huduma za kifedha inaitwa SELCOM HUDUMA
Hawana huduma kwa wateja nzuri, kubwa lililonileta kwenu miamala imekwama kwa muda wa wiki moja Sasa hakuna msaada wowote ule tunaoupata imekuwa kero kwa watu wengi.
Nimejaribu kila njia kuwasiliananao lakini hakuna msaada nilioupata .
Naomba mamlaka husika za serikali zitusaidie
Naomba kuwasilisha
Kuna hii platform ya kimtandao inayojihusisha na kutoa huduma za kifedha inaitwa SELCOM HUDUMA
Hawana huduma kwa wateja nzuri, kubwa lililonileta kwenu miamala imekwama kwa muda wa wiki moja Sasa hakuna msaada wowote ule tunaoupata imekuwa kero kwa watu wengi.
Nimejaribu kila njia
Mimi mwenyewe kuna muamala nilifanya wa tsh700,000/= pesa ikakwama wakasema watanirudishia kwenye account yangu ya mpesa ndani ya masaa 72 lakini muda ulipofika hawakurudisha walinizungusha na ile hela karibu wiki mbili nikatuma email BOT na TCRA za malalamiko kuona kama ntapata msaada wakaja baadae kurudisha muamala ila hawa jamaa sio wakuwaamini.Kuna hii platform ya kimtandao inayojihusisha na kutoa huduma za kifedha inaitwa SELCOM HUDUMA