Kuna hii platform ya kimtandao inayojihusisha na kutoa huduma za kifedha inaitwa SELCOM HUDUMA.
Hawana huduma kwa wateja nzuri, kubwa lililonileta kwenu miamala imekwama kwa muda wa wiki moja Sasa hakuna msaada wowote ule tunaoupata imekuwa kero kwa watu wengi.
Nimejaribu kila njia kuwasiliananao lakini hakuna msaada nilioupata.
Naomba mamlaka husika za serikali zitusaidie.
Naomba kuwasilisha.