Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

Optimistic_

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
2,347
Reaction score
1,850
TANGAZO TANGAZO

HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali

Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa.

Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa.

Vigezo
✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali
✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia
✅ Barua ya kuomba huduma
✅ Certificate of registration ya kituo au namba ya usajili wa kituo
✅Namba ya Vodacom ya kuwezesha.

Gharama za vifurushi UNLIMITED
✅10mbps.......60000/=
✅20mbps......80000/=
✅30mbps......90000/=
✅50mbps.....150000/=

Malipo mnakua mnalipa kila mwisho wa mwezi mnatumiwa Invoice na Vodacom

HUDUMA HII KULETEWA NI BUUURE KABISA

Nipigie au tuma ujumbe Whatssap 0765991551
 
Aisee tena kumbe unatumia alafu ndio unalipa🤦🏿‍♂️, kwanini hii huduma isingekuwa ni kwa wateja wote...
 
Wewe ndo Vodacom mwenyewe au ?..mbna unasema upigiwe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…