Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Unaumwa, una appointment ya kumuona Cardiologist JKCI. Unaambiwa njoo saa 12 asubuhi. Unafika mnakusanywa kwenye mahema mnasubiri Daktari.
Unapewa namba. Unaambiwa Katie Bima. Mnapanga foleni ya Bima. Saa 4 tayari huiamuona Doctor unaambiwa Yuko Wodini Bado. Unakaa unamuona Doctor Saa 7. Unaandikiwa kipimo unaendafoleni dirishani kulipia. Ukishalipia unaenda foleni kuandikishwa kwenye Counter book. Unapewa namba 25. Unaambiwa kasubiri uitwe Kipimo.
Saa 10 tayari kipimo bado mpo wengi. Sasa 11 bado kupimwa. Mwisho unakata tamaa siku imeisha hujapata tiba. Na Daktari anasubiri majibu ya Kipimo muda wake umefika anaondoka. Hii Shida hapa mpaka lini?
Tafadhali msituchoshe Wagonjwa Kwa taratibu zenu za Kizamani.