Huduma za Airtel Mobey ni mbovu sana

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,409
Reaction score
13,262
Hii kampuni inatia hasara sana watu. Unatuma pesa inajibu UNFINISHED kwa maana ya jwamba haijakamilika kumbe pesa zimekwenda hivyo unajikuta unatuma mara ya pili. Unatuma pesa kwa mteja ujumbe hapati mpaka aanze kuangalia salio. Ni usumbufu mkubwa hasa kwa mawakala inabidi kampuni ifanyie kazi kasoro hizo
 
Kampuni imejaa matapeli tupu
 
Airtel kwa jumla ni kampuni ya hovyo kwenye kila huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…