KERO Huduma za basi la ABC la Tunduma - Dar daraja la Presidential mbona hazifanani na nauli

KERO Huduma za basi la ABC la Tunduma - Dar daraja la Presidential mbona hazifanani na nauli

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Jun 4, 2023
Posts
5
Reaction score
4
Magari ya ABC yanayofanya safari kati ya Tunduma na Dar es Salaam, hususan yale ya daraja la Presidential Class, yanatoza nauli kubwa. Hata hivyo, hakuna huduma kama maji ya kunywa, vitafunwa (bites), Wi-Fi na Azam TV.

Swali ni je, vibali vya magari haya hutolewa kwa kuzingatia vigezo gani vya huduma kwa abiria? Tunaomba mamlaka husika lifuatilie suala hili na kuchunguza kama huduma zinazotolewa zinaendana na daraja la basi na nauli inayotozwa.

Abiria wanastahili kupata huduma zinazoendana na gharama wanazolipa. Inasikitisha kulipa nauli kubwa huku huduma zinazotarajiwa katika daraja hilo la usafiri zikiwa hazipatikani.
 
Back
Top Bottom