Huduma za bb services za tigo

Huduma za bb services za tigo

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Inakuwaje hii kampuni imetutoza hela then inashindwa kutoa huduma ya malipo tuliyowapa!? Sasaivi huduma hii haipo hewani na hakuna taarifa zozote inakuaje
 
Naona imerudi tena mkuu! Ila wanaudhi sana hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom