Deka D
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 115
- 62
Habari zenu.!
Kumekuwepo na tetesi kuwa huduma za fastjet simesimamishwa kakn bado huduma zinatolewa mpaka sasa..
Ukweli ni kwamba kambuni ya fastjet ilingia mkataba na kampuni ya 540 ya Tanzania wa kutoa huduma za anga. Lakn hivi sasa kuna mgogoro kati ya fastjet na 540 kuhusu madeni ya fastjet na leseni ya 540.
Kampuni ya fastjet hapo mwanzo ilikuwa ikitoa huduma zake nchini kenya lakn kutona na kuzidiwa na madeni ilibidi isimame ije Tanzania.
Kwa sasa kampuni ya 540 inaitaka kampuni ya fastjet kulipa hayo madeni maana kenya wanaisema sana na ikishindwa watachukua leseni yao.
Kumbuka fastjet inatumia leseni ya 540 kutoa huduma zake hapa Tanzania.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums