Huduma za Fastjet hatarini kusimamishwa.

Huduma za Fastjet hatarini kusimamishwa.

Deka D

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
115
Reaction score
62
Habari zenu.!

Kumekuwepo na tetesi kuwa huduma za fastjet simesimamishwa kakn bado huduma zinatolewa mpaka sasa..

Ukweli ni kwamba kambuni ya fastjet ilingia mkataba na kampuni ya 540 ya Tanzania wa kutoa huduma za anga. Lakn hivi sasa kuna mgogoro kati ya fastjet na 540 kuhusu madeni ya fastjet na leseni ya 540.

Kampuni ya fastjet hapo mwanzo ilikuwa ikitoa huduma zake nchini kenya lakn kutona na kuzidiwa na madeni ilibidi isimame ije Tanzania.

Kwa sasa kampuni ya 540 inaitaka kampuni ya fastjet kulipa hayo madeni maana kenya wanaisema sana na ikishindwa watachukua leseni yao.

Kumbuka fastjet inatumia leseni ya 540 kutoa huduma zake hapa Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jana kwenye StarTv mwana dada afisa Masoko aliuhakikishia UMMA kuwa hakuna kitu kama hicho na biashara yao inapanda kwa kasi ya ajabu na faida kubwa. Alisema kwa miezi miwili na nusu waliyofanya kazi wanaelekea kusafirisha abiria laki moja! Amesema kuwa huo ni uzushi na kuwa FastJet is here to stay. Amesema hawana deni na mtu wala kampuni yoyte na leseni yao iko valid! Sasa mkweli ni yupi?
 
isije ikawa huo ni mkakati wa washindani wao ktk eskta hiyo wameamua kuzusha hayo ili kuwaharibia soko lao!
 
Ukweli siku zote utatuweka uhuru.! Subirini kidogo mambo yatakuwa wazi kwa wale wasio hamini.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
duh! nimeingia fasta nikidhani unamaanisha fastjet huyu kiongozi wetu!
na huduma za kwenda U.S.A khaa!
umeshaniboaaa!
 
Walishatoa ufafanuzi kuwa huduma ziko pale pale.

Hizo ni propaganda za prec..air na hili shirika linalozinduliwa kila siku huku ndege zikipasuka vioo angani.

Watu waboreshe huduma, wateja watachagua wapi pa kwenda kufuatana na ubora wa huduma. Sio kuleta propaganda za kijing.
 
Back
Top Bottom