Huduma za kuhamisha Dar na mikoani

Huduma za kuhamisha Dar na mikoani

Haijarish kuna mvua kiasi gan tuna vifaa maalumu vya kuhamishia piga 0685899619
 
karibuni HUDUMA YA KUHAMA, mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mkoani.
Huduma zetu ni pamoja na;
👉kufunga na kufungua vitu tunapofika unapohamia
👉kupanga vitu mahala pake
👉kuweka mapazia na dish kama lipo
👉kukodisha gari la mizigo yako kama ukihitaji
👉kusafirisha mizigo mkoani

tupigie au watsapp 0685899619, tunapatikana kinyerezi DAR ES SALAAM @sway_fast_movers @sway_fast_mover
 
Back
Top Bottom