Huduma za kupandikiza mimba (IVF) Muhimbili zimeanza?

Huduma za kupandikiza mimba (IVF) Muhimbili zimeanza?

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,174
Reaction score
835
Wakuu habari,

Naomba kujua kama huduma.za IVF zimeanza kutolewa na kwa gharama ipi maana nahitaji kupata mtoto na mwenza wangu ambae imethibitika mirija imeziba.

Najua zipo hospital binafsi zinafanya ila gharama zao nasikia ni kubwa mno.
 
Kila Heri mkuu,
NB
Ila umejarbubmitishamba kama hakuwah fanyiw operation maeneo ya kizaz
 
Mungu afungue kizazi Cha mkeo mpate watoto msikate tamaa, ila naskia mirija huwa inazibiliwa na mtu ana conceive though ni painful
 
Wakuu habari,

Naomba kujua kama huduma.za IVF zimeanza kutolewa na kwa gharama ipi maana nahitaji kupata mtoto na mwenza wangu ambae imethibitika mirija imeziba.

Najua zipo hospital binafsi zinafanya ila gharama zao nasikia ni kubwa mno.
Si useme tu unasaka mapacha kwa LAZIMA!
 
Back
Top Bottom