BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,174 Reaction score 835 Nov 24, 2021 #1 Wakuu habari, Naomba kujua kama huduma.za IVF zimeanza kutolewa na kwa gharama ipi maana nahitaji kupata mtoto na mwenza wangu ambae imethibitika mirija imeziba. Najua zipo hospital binafsi zinafanya ila gharama zao nasikia ni kubwa mno.
Wakuu habari, Naomba kujua kama huduma.za IVF zimeanza kutolewa na kwa gharama ipi maana nahitaji kupata mtoto na mwenza wangu ambae imethibitika mirija imeziba. Najua zipo hospital binafsi zinafanya ila gharama zao nasikia ni kubwa mno.
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,321 Reaction score 7,501 Nov 24, 2021 #2 Kila Heri mkuu, NB Ila umejarbubmitishamba kama hakuwah fanyiw operation maeneo ya kizaz
BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,174 Reaction score 835 Nov 24, 2021 Thread starter #3 TZ-1 said: Kila Heri mkuu, NB Ila umejarbubmitishamba kama hakuwah fanyiw operation maeneo ya kizaz Click to expand... Bado, imagination yangu hainipi confidence ya kutumia miti shamba
TZ-1 said: Kila Heri mkuu, NB Ila umejarbubmitishamba kama hakuwah fanyiw operation maeneo ya kizaz Click to expand... Bado, imagination yangu hainipi confidence ya kutumia miti shamba
cariha JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 22,077 Reaction score 46,549 Nov 24, 2021 #4 Mungu afungue kizazi Cha mkeo mpate watoto msikate tamaa, ila naskia mirija huwa inazibiliwa na mtu ana conceive though ni painful
Mungu afungue kizazi Cha mkeo mpate watoto msikate tamaa, ila naskia mirija huwa inazibiliwa na mtu ana conceive though ni painful
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Nov 24, 2021 #5 CHIEF MGALULA said: Wakuu habari, Naomba kujua kama huduma.za IVF zimeanza kutolewa na kwa gharama ipi maana nahitaji kupata mtoto na mwenza wangu ambae imethibitika mirija imeziba. Najua zipo hospital binafsi zinafanya ila gharama zao nasikia ni kubwa mno. Click to expand... Si useme tu unasaka mapacha kwa LAZIMA!
CHIEF MGALULA said: Wakuu habari, Naomba kujua kama huduma.za IVF zimeanza kutolewa na kwa gharama ipi maana nahitaji kupata mtoto na mwenza wangu ambae imethibitika mirija imeziba. Najua zipo hospital binafsi zinafanya ila gharama zao nasikia ni kubwa mno. Click to expand... Si useme tu unasaka mapacha kwa LAZIMA!
BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,174 Reaction score 835 Nov 24, 2021 Thread starter #6 Maghayo said: Si useme tu unasaka mapacha kwa LAZIMA! Click to expand... Hata la mapacha ndio dream yangu mkuu
Maghayo said: Si useme tu unasaka mapacha kwa LAZIMA! Click to expand... Hata la mapacha ndio dream yangu mkuu