Huduma za Kusajili Kampuni, Majina ya Biashara kupitia Brela

Huduma za Kusajili Kampuni, Majina ya Biashara kupitia Brela

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Je wewe ni Mjasiriamali unayetaka kurasimisha Biashara yako

Masoko Consultant Tumeanzisha Kitengo maalum kwa ajili ya kukusaidia katika kufanya Mchakato wa Kurasimisha Biashara yako kwa kuisajili.Tutakupatia huduma zifuatazo kwa Gharama nafuu:

  1. Kwanza tutakushauri kuhusu muundo wa biashara yako faida na hasara pamoja fursa mbalimbali
  2. Pili tutakufanyia utafiti na ushauri wa Jina la Biashara yako kwa kuzingatia vigezo vya SOKO
  3. Tutakufanyia Taratibu zote za usajili kuanzia Uandaaji wa Nyaraka Mpaka Kukamilika kwa Usajili pamoja na leseni
  4. Tutakuandikia Company Profile ya Kisasa kwa Lugha ya Kiingereza na Kiswahili
  5. Tutakutengenezea Website ya kisasa kwa ajili ya Biashara na huduma zako.
  6. Tutakutengenezea,Logo,Business Card,Letter Head pamoja na Nyaraka nyingine za Kibiashara
  7. Tutakupatia Mfumo wa Kutunza kumbukumbu kwa njia ya Mtandao au kwenye Computer yako kwa ajili ya kusimamia Biashara yako
  8. Tutakufanyia Initial Marketing kwa Wateja wako watano wa Mwanzo ili kuwa na customer base ya kuanzia
  9. Pia tutakusaidia Mchakato wa Kufungua Bank Account kwa kutumia jina la Biashara yako Bure(Deposit Ya Kwako)
Huduma hii ni designed and customized kwa ajili ya biashara Mpya kabisa.Iwapo biashara yako tayari ipo na unataka kupata huduma hii unaweza kuwasiliana nasi kw msaada zaidi.Gharama zetu ni Nafuu sana.Kwa mawasiliano,Whatsap 0710323060 Email: masokotz@yahoo.com

Karibuni Sana

Kuhusu SISI

Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na kuzitumia kwa ajili ya kukuza biashara zao na kukuza faida.Lengo letu ni kuwasaidi wafanyabiasha wadogo na wakati kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa biashara zao ili ziendani na dunia ya kisasa kwa kuwawezesha kufikia zana za kisasa,utaalamu wa kisasa na teknolojia katika kuendesha biashara zao.

Tulianza kutoa huduma Mwaka 2016 na tunafanya kazi kwa kutumia mbinu za kitaalamu na za kisasa.
 
Huduma hii bado ipo,Wateja 10 Wa mwanzo watapewa huduma hii kwa Punguzo la Asilimi 75%.Tuwasiliane kwa whatsap au Email
 
Badala ya kusema 'kwa gharama nafuu' nashauri ungeweka bei kabisa ili kila mtu ajionee na kupima huo unafuu.
Mkuu,
Gharama zetu ni nafuu sana,

Kujisajili na sisi ni TZS 20,000 ambapo unakuwa mteja wetu kwa muda wa mwaka mmoja unashauriwa kuhusu biashara yako.Huduma nyingine Mfano Kusajili Biashara kuandaa Nyaraka n.k.Ni negotiable .Je nimejibu Swali lako?Kwa Mfano kwa Punguzo letu la 75% Ina maana watakaojisajili kwa huduma ZETU watalipa 25% ambayo ni sawa na TZS 5000 na kwa huduma zingine vivyo hivyo.

Karibu tukuhudumie
 
Naunga mkono hoja...

Let's meet at the top, cheers 🥂
Mkuu,
Gharama zetu ni nafuu sana,

Kujisajili na sisi ni TZS 200,000 ambapo unakuwa mteja wetu kwa muda wa mwaka mmoja unashauriwa kuhusu biashara yako.Huduma nyingine Mfano Kusajili Biashara kuandaa Nyaraka n.k.Ni negotiable .Je nimejibu Swali lako?Kwa Mfano kwa Punguzo letu la 75% Ina maana watakaojisajili kwa huduma ZETU watalipa 25% ambayo ni sawa na TZS 50000 na kwa huduma zingine vivyo hivyo.

Karibu tukuhudumie
 
Mkuu,
Gharama zetu ni nafuu sana,

Kujisajili na sisi ni TZS 20,000 ambapo unakuwa mteja wetu kwa muda wa mwaka mmoja unashauriwa kuhusu biashara yako.Huduma nyingine Mfano Kusajili Biashara kuandaa Nyaraka n.k.Ni negotiable .Je nimejibu Swali lako?Kwa Mfano kwa Punguzo letu la 75% Ina maana watakaojisajili kwa huduma ZETU watalipa 25% ambayo ni sawa na TZS 5000 na kwa huduma zingine vivyo hivyo.

Karibu tukuhudumie
Impressive!
Nitawacheki, nina kazi.

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Hii huduma ni mpya kabisa,Wahi Mapema kbla gharama hazijapanda.Rasimisha Biashara yako Ikue kwa gharma nafuu sana.
 
Je wewe ni Mjasiriamali unayetaka kurasimisha Biashara yako

Masoko Consultant Tumeanzisha Kitengo maalum kwa ajili ya kukusaidia katika kufanya Mchakato wa Kurasimisha Biashara yako kwa kuisajili.Tutakupatia huduma zifuatazo kwa Gharama nafuu:

  1. Kwanza tutakushauri kuhusu muunda wa biashara yako faida na hasara pamoja fursa mbalimbali
  2. Pili tutakufanyia utafiti na ushauri wa Jina la Biashara yako kwa kuzingatia vigezo vya SOKO
  3. Tutakufanyia Taratibu zote za usajili kuanzia Uandaaji wa Nyaraka Mpaka Kukamilika kwa Usajili pamoja na leseni
  4. Tutakuandikia Company Profile ya Kisasa kwa Lugha ya Kiingereza na Kiswahili
  5. Tutakutengenezea Website ya kisasa kwa ajili ya Biashara na huduma zako.
  6. Tutakutengenezea,Logo,Business Card,Letter Head pamoja na Nyaraka nyingine za Kibiashara
  7. Tutakufanyia Branding ya Biashara yako-Kutengeneza Bango na Fliers
  8. Tutakupatia Mfumo wa Kutunza kumbukumbu kwa njia ya Mtandao au kwenye Computer yako kwa ajili ya kusimamia Biashara yako
  9. Tutakufanyia Initial Marketing kwa Wateja wako watano wa Mwanzo ili kuwa na customer base ya kuanzia
Huduma hii ni designed and customized kwa ajili ya biashara Mpya kabisa.Iwapo biashara yako tayari ipo na unataka kupata huduma hii unaweza kuwasiliana nasi kw msaada zaidi.Gharama zetu ni Nafuu sana.Kwa mawasiliano,Whatsap 0715323060 Email:masokotz@yahoo.com

Karibuni Sana
Nitakutafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ainisha hizo gharama lengwa.

Subscription fee sio subjet ya wateja wenu.
 
Kwani nyie mnatoa huduma ya kusaji wateja kwenye kamouni yenu tu?
Mkuu,Utaratibu wetu ni Rahisi sana,Unajisajili,Tunakufanyia Evaluation kwa kulingana na Mahitaji yako,Tunakupa Gharama kamili kisha Tunakupa Invoice kwa mujibu wa mahitaji yako,Unatoa 25% Advance Tunafanya kazi yako kwa 75% kisha unalipa 75% ya balance yako Tunakukabidhi kazi.Tunakupa 1 Year Free support.

Swali langu kwako ni rahis Je unataka huduma gani hapo ili nikupe gharama zake?
 
Unashindwa nini kuweka gharama mbili tatu zilizofanyiwa "EVALUAT2" ili wasomaji wavutiwe kupitia hizo cost benefits analysis.
 
Unashindwa nini kuweka gharama mbili tatu zilizofanyiwa "EVALUAT2" ili wasomaji wavutiwe kupitia hizo cost benefits analysis.
Nikupe siri Moja,Ninauza huduma sio BEI,Mfano Kusajili JINA LA BIASHARA BRELA ni TZS 5000 Tu kama Tayari unalo Jina na Taarifa zote.Gharama za Brela Utalipia.Kama huna Jina au kama Jina litakataliwa Kila unaporekebisha Jina Utaongeza TZS 2000 Mpaka Lipatikane Jina Kamili.Ila Iwapo Tutakufanyia Utafiti wa Jina SISI Gharama itakuwa ni TZS 25000.Umepata Mwanga?

Kwenye Kusajili Kampuni kama Tayari Unazo MEMAT Gharama ni TZS 35000 na kila utakapobadili JINA litakatialiwa au kuhitaji marekebisho utalipia TZS 15000.Hizo bei nilizoweka ni za Kukuongoza tu na sio Actual Prices,Actual Prices zinapungua au Kuongezeka.Ilo Utalifahamu zaidi ukishajisajili kwa huduma zetu

Karibu SANA
 
Hapo hakuna siri unayonipa bali unafafanua kwa kiwango cha kumvutia mteja wako mtarajiwa kuhusu faida atayoipata akiwa mteja wako.

Usipojua mbinu za kuuza "Technical know how" utazeeka na know how yako.

Ukae ukijua kuwa watu wako sensitive sana na registration fee yao maana wanajua ni non refundable.
 
Karibuni Watanzania

Najua hilo,Nafurahi kwamba umeniuliza maswali mengi na ya msingi sana,Tafadhali wasiliana nasi kwa Email Whatsap na Tutakupa Custom Quote kwa kuzingatia mahitaji yako na kukuhudumia kwa upekee.

Asante na Karibu sana.
 
Karibuni wateja turasimishe Biashara zenu kwa gharama nafuu sana
 
Back
Top Bottom