Huduma za Kusajili Kampuni, Majina ya Biashara kupitia Brela

Huduma za Kusajili Kampuni, Majina ya Biashara kupitia Brela

Tunaendelea kusajili wateja kwa Punguzo la 75% Wahi Mapema kabla ya punguzo kupita:Mawasiliano Whatsapp 0715323060 Email masokotz@yahoo.com
 
Je wewe ni Mjasiriamali unayetaka kurasimisha Biashara yako

Masoko Consultant Tumeanzisha Kitengo maalum kwa ajili ya kukusaidia katika kufanya Mchakato wa Kurasimisha Biashara yako kwa kuisajili.Tutakupatia huduma zifuatazo kwa Gharama nafuu:

  1. Kwanza tutakushauri kuhusu muunda wa biashara yako faida na hasara pamoja fursa mbalimbali
  2. Pili tutakufanyia utafiti na ushauri wa Jina la Biashara yako kwa kuzingatia vigezo vya SOKO
  3. Tutakufanyia Taratibu zote za usajili kuanzia Uandaaji wa Nyaraka Mpaka Kukamilika kwa Usajili pamoja na leseni
  4. Tutakuandikia Company Profile ya Kisasa kwa Lugha ya Kiingereza na Kiswahili
  5. Tutakutengenezea Website ya kisasa kwa ajili ya Biashara na huduma zako.
  6. Tutakutengenezea,Logo,Business Card,Letter Head pamoja na Nyaraka nyingine za Kibiashara
  7. Tutakufanyia Branding ya Biashara yako-Kutengeneza Bango na Fliers
  8. Tutakupatia Mfumo wa Kutunza kumbukumbu kwa njia ya Mtandao au kwenye Computer yako kwa ajili ya kusimamia Biashara yako
  9. Tutakufanyia Initial Marketing kwa Wateja wako watano wa Mwanzo ili kuwa na customer base ya kuanzia
  10. Pia tutakufanyia Mchakato wa Kufungua Bank Account kwa kutumia jina la Biashara yako Bure(Deposit Ya Kwako
Huduma hii ni designed and customized kwa ajili ya biashara Mpya kabisa.Iwapo biashara yako tayari ipo na unataka kupata huduma hii unaweza kuwasiliana nasi kw msaada zaidi.Gharama zetu ni Nafuu sana.Kwa mawasiliano,Whatsap 0715323060 Email:masokotz@yahoo.com

Karibuni Sana


Kuhusu SISI

Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na kuzitumia kwa ajili ya kukuza biashara zao na kukuza faida.Lengo letu ni kuwasaidi wafanyabiasha wadogo na wakati kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa biashara zao ili ziendani na dunia ya kisasa kwa kuwawezesha kufikia zana za kisasa,utaalamu wa kisasa na teknolojia katika kuendesha biashara zao.

Tulianza kutoa huduma Mwaka 2018 na tunafanya kazi kwa kutumia mbinu za kitaalamu na za kisasa.
Kupata huduma zote hizo ni Tzs ngapi kwa ujumla!? Kwamimi ninaeanza na zero step.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
But hongeren kutoka kwenye kundi kubwa iliyotelekezwa ya kutafta ajra, kaz n kaz ilimrad usichekue cha mtu.
 
Mkuu,Utaratibu wetu ni Rahisi sana,Unajisajili,Tunakufanyia Evaluation kwa kulingana na Mahitaji yako,Tunakupa Gharama kamili kisha Tunakupa Invoice kwa mujibu wa mahitaji yako,Unatoa 25% Advance Tunafanya kazi yako kwa 75% kisha unalipa 75% ya balance yako Tunakukabidhi kazi.Tunakupa 1 Year Free support.

Swali langu kwako ni rahis Je unataka huduma gani hapo ili nikupe gharama zake?
Mkuu nina kazi nitawacheki hivi soon. Munapatikana wapi hata hvyo
 
Dar kubwa kiongozi weka vizur hyo mfano jengo la xyz, frst floor. au bado ni startup biz tuwezeshe kukuza capital.
Mkuu Ofisi zetu ziko Kigamboni Vijibweni.Tuna field office Arusha na Moshi 99% ya kazi zetu ni remote + field work Kama unataka kuwekeza kwetu tuwasiliane tuone namna.

Karibu sana
 
Back
Top Bottom