Huduma za MRI, CT-Scan, X Ray na Ultrasound zinapatikana MOI masaa 24 siku 7 za wiki

Huduma za MRI, CT-Scan, X Ray na Ultrasound zinapatikana MOI masaa 24 siku 7 za wiki

Tupo pamoja wakuu asanteni sana kwa kunisaidia hapo Kuna wagonjwa wangu wawili now wameshakaa sawa mmoja wa stroke mwingine mlifanyia upasuaji wa goti shukrani
 

Attachments

  • IMG_20250819_164810_735~2.jpg
    IMG_20250819_164810_735~2.jpg
    304.7 KB · Views: 46
Habari naomba kujua gharama za MRI nitashukuru mkinijibu umu ili nijipange.
 
Taasisi zingine nao wajisajili hapa jamiiforum kama walivyofanya MOI
 
Msije tu mkakimbia kujibu maswali na hoja mbali mbali kama baadhi ya Taasisi na Idara zingine walivyo kimbia ID's zao
 
Kwa nini taasisi nyingi zinapo tangaza huduma zao ni ngumu kuwa wazi kuhusu gharama zake?
 
Back
Top Bottom