Huduma za Mwendokasi zarejea kubeba abiria Mbagala-Gerezani

Huduma za Mwendokasi zarejea kubeba abiria Mbagala-Gerezani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Baada ya siku 21 tangu kusitishwa kwa huduma ya mabasi yaendayo haraka katika barabara ya Mbagala kuelekea Gerezani na Kivukoni kufuatia uharibifu uliotokea wakati wa maandamano ya Oktoba 29, huduma hiyo imeanza rasmi kurejea leo kwa kubeba abiria.

Katika baadhi ya vituo vya Kilwa Road, mabasi yanaendelea kutoa huduma huku ulinzi ukiwa umeimarishwa na vyombo vya usalama.

Baadhi ya vituo vinaendelea kurekebishwa ili viwe tayari kutoa huduma kikamilifu, na abiria wanaelekezwa kutumia vituo vya mbele pale ambapo matengenezo yanaendelea.
 
Back
Top Bottom