Huduma za Tigo pesa sasa zinapatikana kwenye Zantel

Huduma za Tigo pesa sasa zinapatikana kwenye Zantel

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel.

Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa.

Hivyo, ukiwa Zantel yako unapata huduma za tigo pesa bila ongezeko la gharama yoyote ile.
 
Nadhani wangefanya na huduma za Eazy pesa nazo zipatikane kwenye Tigo pesa.

Kitu sijawahi kuelewa ni miaka michache nyuma mpaka naondoka Zanzibar, umeme kwa simu wanaruhusu kununua kwa Zantel tu, na sio mitandao mingine.

Sababu sijawahi ijua, na sisi ni taifa moja.
 
Mbona zipo zinapatikana Jana me nimetoa hela ya ezypesa kupitia wakala wa tigo
 
Ni baada ya 'tigo' kusajiliwa kwa alama za vidole.
 
72CFEBB7-CD53-46E8-99C4-AF1B44700106.jpeg
 
Back
Top Bottom