Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mbona zipo zinapatikana Jana me nimetoa hela ya ezypesa kupitia wakala wa tigoNadhani wangefanya na huduma za Eazy pesa nazo zipatikane kwenye Tigo pesa.
Kitu sijawahi kuelewa ni miaka michache nyuma mpaka naondoka Zanzibar, umeme kwa simu wanaruhusu kununua kwa Zantel tu, na sio mitandao mingine.
Sababu sijawahi ijua, na sisi ni taifa moja.
Miamala ya kifedhaNi miamala ya kifedha tu au na vifurushi pia...?
Mbona zipo zinapatikana Jana me nimetoa hela ya ezypesa kupitia wakala wa tigo
Na vifurushi pia unaweza nunua vocha ya tigo ukatumia kwa ajili ya zantel na kinyume chakeNi miamala ya kifedha tu au na vifurushi pia...?
SO naweza kwenda kusajili line ya zantel ofisi za tigo ?