Huduma za TIGOPESA zitarejea muda gani??

Huduma za TIGOPESA zitarejea muda gani??

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Naona kuna tatizo la kiufundi kuhusu kupatikana kwa huduma za TIGOPESA, tupeni hata taarifa ni kwa muda gani tatizo litarekebishwa.Wahusika tupeni taarifa.
 
Nimeona wanakwambia "Asante kwa kutumia TIGO" Halafu kimya!
Bora iwe hivyo.
Jana na juzi nimeona bundle ya TIGO Pesa inaisha upesi sana
 
Back
Top Bottom