enzo1988 JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 1,838 Reaction score 7,346 Aug 19, 2024 #1 Naona kuna tatizo la kiufundi kuhusu kupatikana kwa huduma za TIGOPESA, tupeni hata taarifa ni kwa muda gani tatizo litarekebishwa.Wahusika tupeni taarifa.
Naona kuna tatizo la kiufundi kuhusu kupatikana kwa huduma za TIGOPESA, tupeni hata taarifa ni kwa muda gani tatizo litarekebishwa.Wahusika tupeni taarifa.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Aug 19, 2024 #2 Hawasemi tatizo kimetokea toka jana.
Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Aug 19, 2024 #3 Nimeona wanakwambia "Asante kwa kutumia TIGO" Halafu kimya! Bora iwe hivyo. Jana na juzi nimeona bundle ya TIGO Pesa inaisha upesi sana
Nimeona wanakwambia "Asante kwa kutumia TIGO" Halafu kimya! Bora iwe hivyo. Jana na juzi nimeona bundle ya TIGO Pesa inaisha upesi sana