issamajid
New Member
- Apr 19, 2014
- 2
- 1
Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa.
Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa.
Kuna muda abiria wanajazana na hata AC haziwashwi viti vimekaa ovyo kiufupi mazingira hayakidhi kuitwa daraja la biashara.
Nimeona pia hata huduma za ndani ya treni kwa abiria hawa zimeanza kupoteza uhalisia wake kwani kuna muda unapanda abiria hupati hata chupa ya maji, vyakula havieleweki tofauti na mwanzo.
TRC igeni mfano wa Airtanzania vinginevyo mtaharibu.