Huduma za uwekaji Tarazo (Tiles) kwa miradi mikubwa na midogo

Winnerstz

Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
34
Reaction score
34
Tunatoa huduma za kitaalamu za uwekaji wa Tarazo (Tiles) kwa ubora wa hali ya juu kwenye maeneo mbalimbali:

🔹 Mashule (madarasa, korido, vyoo)
🔹 Parking (maeneo ya magari)
🔹 Underground floors (basements)
🔹 Nyumba binafsi (residential houses)
🔹 Ofisi, maduka na majengo ya biashara

💼 Kwa nini utuchague?

✔️ Uzoefu wa kazi za miradi mikubwa na midogo
✔️ Kazi imara, inayodumu muda mrefu
✔️ Finishing ya kisasa na inayovutia
✔️ Ufungaji sahihi kulingana na matumizi ya eneo (heavy duty & normal use)
✔️ Uwezo wa kufanya kazi kwa muda uliopangwa (no delays)

📩 Njoo inbox kwa mazungumzo zaidi au piga 0618928236
(Tupo tayari kushirikiana na watu binafsi, shule, wakandarasi na taasisi)

Terrazzo tiles in midday sun.png
 
Kama hii ni kazi ya mikono yenu inabidi mjitathimini upya,kwa mtu anayependa kazi smart hii kazi mbona haijakamilika?au ninyi ni madalali?
 
Akikujib naomba unitag
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom