Tunatoa huduma za kitaalamu za uwekaji wa Tarazo (Tiles) kwa ubora wa hali ya juu kwenye maeneo mbalimbali:
๐น Mashule (madarasa, korido, vyoo)
๐น Parking (maeneo ya magari)
๐น Underground floors (basements)
๐น Nyumba binafsi (residential houses)
๐น Ofisi, maduka na majengo ya biashara
๐ผ
Kwa nini utuchague?
โ๏ธ Uzoefu wa kazi za miradi mikubwa na midogo
โ๏ธ Kazi imara, inayodumu muda mrefu
โ๏ธ Finishing ya kisasa na inayovutia
โ๏ธ Ufungaji sahihi kulingana na matumizi ya eneo (heavy duty & normal use)
โ๏ธ Uwezo wa kufanya kazi kwa muda uliopangwa (no delays)
๐ฉ
Njoo inbox kwa mazungumzo zaidi au piga 0618928236
(Tupo tayari kushirikiana na watu binafsi, shule, wakandarasi na taasisi)