Umewaza kama Mimi. Kuigeuza Ligue 1 au Bundesliga hashindwi😄Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake
Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi ndani ya Azam hivyo kuharibu (kushinda vikombe mfululizo)ni kukata TAWI alilo egemea
Ligi ndiyo ingechangamka zaidi ya sasa.Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake
Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi ndani ya Azam hivyo kuharibu (kushinda vikombe mfululizo)ni kukata TAWI alilo egemea
Huenda wako kwenye kuangalia hiyo namna ikiwemo kuingia soko la Kenya ila kwa hapa kwetu Simba na Yanga zina mchango mkubwa sana kwenye kuuza bidhaa yake ya visimbuziHii siyo hali ya kupendeza sana kwa maendeleo ya soka la Tanzania. Ushindani wa kweli unajengwa na timu zote kucheza kwa nguvu sawa, pasipo kuangalia maslahi ya biashara. Kama kweli kuna hofu ya “kukata tawi walilokalia”, basi Azam wanaweza kuangalia njia nyingine za kuboresha biashara yao bila kuathiri uhalali wa ushindani.
Shida tff nayo huwa inawahitaji hao watu wanapotaka kupata madaraka au msaada wowoteMi nachikizwa na hawa wanaoingilia uamuzi wa TFF na bodi ya ligi miaka nenda miaka rudi kisa tu wao ni vigogo, mfano Jakaya, Majaliwa Kasimu na wale wote wanaojiita vigogo.
TFF na bodi ya ligi msiwasikilize hawanjamaa mnapofanya uamuzi wenu hawa ni wapuuzi ambao Kila siku wanaangalia maslahi ya Simba na yanga pikee huku Azam FC na wenzake waliumia.
Ila hiki kitu kinakera sana na ndicho kinachofanya mpira wa bongo utawaliwe na Simba na yanga Kila siku. Muda ufike hawa jamaa wapuuzwe kabisa, timu moja kati ya hizi mbili ioneshwe mfano kwa vitendo ili ligi ipate kubadilika.Shida tff nayo huwa inawahitaji hao watu wanapotaka kupata madaraka au msaada wowote
Kimsingi waache ligi iwe fair mfano Kuna wakati nao wapewe match ya saa 8 au saa 3 usikuIla hiki kitu kinakera sana na ndicho kinachofanya mpira wa bongo utawaliwe na Simba na yanga Kila siku. Muda ufike hawa jamaa wapuuzwe kabisa, timu moja kati ya hizi mbili ioneshwe mfano kwa vitendo ili ligi ipate kubadilika.
Sure mkuuHashindwi tena mapema sana nimeangalia game ya Leo
Azam anaweza kuwa mamelody ya tz ila anahofia kuua biashara yake na watu kuhamia kwenye mpira wa dstv