uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake
Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi ndani ya Azam hivyo kuharibu (kushinda vikombe mfululizo)ni kukata TAWI alilo egemea
Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi ndani ya Azam hivyo kuharibu (kushinda vikombe mfululizo)ni kukata TAWI alilo egemea