Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

Wewe Ni mwanafunzi wangu Bora kabisa umeelewa dhumuni la fundisho langu hata kabla sijamaliza.

Muendelezo unakuja soon
 
But sijasema Sisi tuna akili kuliko viumbe wengine nimesema huenda binadamu Ni silaha za kibaiolojia " biological weapons ambazo zimetumwa duniani kama VIRUSI WA KANSA Kwa ajili ya kui destroy sayari ya Dunia.
VIRUSI WA KANSA maana yake ni nini?
 
Yaweza kuwa ni kweli ngoja niunganishe dot binadamu wa kwanza aliweza ishi zaid ya miaka mia tano na ushee
Afu binadamu wa leo anaishia kwenye 70 hivi
Vipi hapo mbelen nazan kweli duniani dunia ina akili na inajilinda
Na kujilinda kwake lazima ipoteze baadhi ya vitu mfano saivi ukame binadamu anahalibu mazingira sana kupelekea vipindi vibadilike

Nazan binadamu yupo kwenye chungu anajipika
 
hizi mada zina fanya ubongo uchangamke vizuri , pamoja mkuu

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Very convincing. Muendelezo unakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…