Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

huenda binaadamu mwenyewe amegundua anatumika kukiharibu kitu alichotokea kukipenda mno na sasa anajaribu kufanya kila awezalo kukihami na kukiboresha, huku nikuenda kinyume na matakwa ya mabosi wake,
"huenda na miongoni mwetu ni virusi vilivyotoroka maabara"
 
Ni kweli kabisa binadamu sisi ni viumbe dhaifu sana kulinganisha na viumbe wengine. Siku moja nilitaka kuandika ulichoandika hapa. Asante sana umeniwakilisha vyema[emoji122][emoji122][emoji122]
 
binadamu anahangaika kwasababu hiiDunia si asili yake.
binadamu ndiye kiumbe pekee hadi leo anapambana kuyakabiri mazingira hi ni tofauti kimaumbile mwingine yoyote.
Hii nakubaliana na ww, ndio maana mtoto wa tembo 🐘 akizaliwa leo anaanza kutembea,lakini binadamu akizaliwa leo anakaa 9 months ndo anaanza kutambaa
 
VIRUSI walio toroka maabara🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inafikirisha
 
mmm nimegundua kumbe hata mimi naweza kudanganya na nikapata wateja kwa mwendo huu
 
The Fermi Paradox - Where is Everybody?? Are we really alone?

 
Bangi sio mboga
Ungekuwa na upeo na maarifa makubwa hiko ulichokiandika hakika usingethubutu. Ubongo wako umeshindwa kuunganisha dots kwasababu huna knowledge ya hizo dots. Mada kama hizi hudiscuss watu wenye upeo, wenye uwezo wa kuunda wazo na kulidadavua with relation to sorroundings environments.
 
Sidhani kama mtoa mada ametenda haki...umeongea kuhusu viongozi wa planet na galaxy nyingine lakini dunia kama dunia umeiongelea ikiwa haina kiumbe ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…