mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Sema huenda ni kweli an empty mind is a devil workshop 🤣🤣🤣😇.. Sasa juzi kati nikawa napitia pitia ki bible kidogo kile cha agano jipya ,nikawa nakisoma kisa cha yohana mbatizaji (math14:1-12 na marko6:14-29).
Kisa kizima kama nilivyokisoma ni kwamba wanawake (Binti Herode na mama yake yaani herodia) walitaka kichwa cha yohana kile kichwa kingine sema mfalme Herode ni kama hakuelewa code ya mtaa. Yeye akaenda kukata kichwa kama kichwa dah!😱😱😎😃. Anyway shindwa Pepo mchafu .. hebu nitoke .🤣🤣.