Huenda CCM ndio Chama Cha siasa kinachopendwa zaidi Duniani kwa sasa

hii imewafanya chadema kutimua mbio huku wengine wakijirekodi ndani ya hema wakibwabwaja uzushi uzuri watanzania wamejionea maendeleo ya hali ya juu na mwendelezo wenye nuru ya milele

chama cha mapinduzi kimezidi kujichanganua kimatawi na kumgusa kila mnyonge nchini
 
😅😅😅 Sifikiri watu sasa ni wajinga kiasi hiki bwashee
 
😅😅😅 Sifikiri watu sasa ni wajinga kiasi hiki bwashee
meku kwa sasa kila mtanzania ambao ni wengi makini, wako na mama bega kwa bega

chama cha mapinduzi kimekua kinara kuwakinga wananchi wake kila idara ndugu
 
CCM SIO chama ni genge la wahuniiiiii
Kama Kitu Kinapendwa Huhitaji Kutumia Nguvu na gharama kukitanganza ubora wake, maana kama kinapendwa tayari watumiaji wanakielewa kuwa ni Kiuzuri, Ule usemi wa Watu wa Pwani wa kwamba "Kizuri cha jiuza, Kibaya Cha Jitembeza ", au ndo huu tunaushuhudia hapa. Sidhani kama kitu kinachopendwa kinahitaji kutumia that much resources and efforts to promote itself. This is the case only for the new unknown product, or the poorly performing item that is being rejected in the market, that the Marketing Team needs now to promote after some rebranding and improvements . In this case , is the Green club applying the same strategy to get approval of the customers after their products have been rejected and performed poorly in the Market??? Perhaps, this is the case.
 
Tufanye reforms tuone kama ni kweli sio kijitekenya na kucheka mwenyewe huo ni Uendawazimu
 
CCM ni next level, we umeona wapi chama chenye wagombea zaidi ya 40 wakigombea jimbo moja la uchaguzi na wote wana sifa kwamba wana elimu, maarufu, na wanajiweza kiuchumi. CCM chama dume
 
Ndio, hata chadema wanajitahidi kukirekebisha kikae sawa ili kiendelee kuongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…