Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
si hivyo tu,Huu ni uchunguzi wangu huru Kwa sasa Kwa kuangalia Ratio kati ya Idadi ya watu kwenye nchi dhidi ya chama Cha siasa kinachoongozwa kwa kupendwa.
Sasa na wewe uko huru kufanya utafiti wako ila ukweli CCM is the most current Loved Political Party in the World.
View attachment 3459020View attachment 3459021
bali pia kinaaminika na kukubalika kwa waTanzania wote.
Kudumu Chama Cha Mapinduzi ladies and gentlemen 🐒