Chama kinatumia bil100 kufanya kampeni hewa, yaani chama kina shindana hewa, halafu kina funga, halafu mbumbu wake wana shangilia? Kwani what is the essence of Samia campaign? Eti ana walaghai wajinga tunaomba mtupe ridhaa, mtupe miaka 5 tena, kwani ana shindana na nani? Hiyo ni kampeni ya ccm kujifurahishia, actually kuiba pesa , mimi ningekuwa ccm ninge mwambia hii pesa unayopoteza si ufungue kiwanda kikubwa hapa utuahiri sisi ccm vijana ili tupate kazi badala ya kushinda kwenye mitandao tuna tetea hewa.
Halafu ikifika tarehe ya uchaguzi, anafanya tu closing campaign rally moja na kesho ana tangazwa.
Mbona utumie nguvu nyingi na resources kufanya kampeni ambayo haina ushindani? Au ni kula la maoni?