Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
CHADEMA ni chama ambacho tayari kimepita hatua ya kufa au kufifia kisa Kuna Mwanachama au wanachama kadhaa wameihama kwenye hili nadhani tunakubaliana wote.
Kuna kila dalili CHADEMA ikatwaa Dola kwenye Uchaguzi Mkuu huu wa Oct 2025,
Jambo hili lilitabiriwa na Mnajimu mashuhuri Duniani marehemu Shekh Yahya Hussein miaka 20 iliyopita, Ukweli ni kwamba matukio yote aliyoyatabiri yametimia vile vile !! Ikiwemo Ujio wa Rais Mwanamke Mhe Rais Samia Suluhu Hassan na kutawala kwa muda mfupi kwa John Pombe Magufuli.
Kitendo Cha Tundu Lissu kumshinda Freeman Mbowe ni jambo la Kiroho sio kimwili Kwakuwa Freeman Mbowe alikuwa na nguvu karibu mara 10 zaidi ya Lissu lakini Mbowe alishindwa Uchaguzi ule wa kihistoria na Lissu aliyekuwa hana hata 30M ya kugharimia mkutano.
Ni vema wanaCHADEMA wakajua hii ilikuwa ni ishara kwao ambayo Mungu amewaonesha uwezo na nguvu zake endapo tu watamwamini na kumtegemea yeye peke yake katika mapambano yao watamshinda yeyote kwani hakutakuwa tena na Uchaguzi mgumu zaidi ya Uchaguzi ule wa ndani ya chama kati ya Mbowe na Lissu.
Wanaotaka Kuhama huenda kabisa wakapishani njiani na gari la Mshahara hivyo subira ya vuta heri na subra ni ibada ndefu.
Stronger. Together.
.