Tetesi: Huenda chama kipya cha Lissu kikasheheni watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof. Safari, Mnyika, Heche, Wenje na wale wote waliotoka CHADEMA kwa figisu

Tatizo ni sheria ya usajili wa chama kipya kisajiliwe muda mfupi na kiingie kwenye uchaguzi mkuu. Ingekuwa ni kenya au afrika kusini kwa kina umoja wa azimia/kenya kwanza na umkhotho we sizwe ingekuwa vema sana. Chama kinaanzishwa ndani ya muda huohuo kinashiriki uchaguzi na kinapata viti. Chama kipya kutoka chadema kinatakiwa na hali kadhalika chama kipya kutoka ccm kinatakiwa pia
 
Mhe. Mbowe tunakuomba umpishe Lissu. Miaka 30 imekutosha vinginevyo utabaki mwenyewe na CHADEMA yako na Covid-19.
 
CCM=CHADEMA ya Mbowe....
Ni vigumu sana kumtoa Mbowe pale maana CCM wanammudu....
 
CHADEMA kwisha kabisa 🤣🤣🤣
 
Mbona lisu siyo mwadolifu. Hicho chama hakitakuwa na mvuto ni extrnsion ya ulaji tu
 
Mimi Lisu akianzisha chama nitaenda na lisu mbowe ananikela chadema unaona kabisa kwa sasa ipo chadema na goli kipa tu ila inajiangusha angusha tu ovyo kabisa now [emoji56]
 
Ukiwa na jicho la tatu, kitendo Cha Lissu kufanya Ziara kivyake (sio kitaasisi) Kuna jambo (movement) na ndio maana msigwa kakimbia kuunganae. Muda utaongea
 
Nimeamini watz tunachangamoto sana kama sio ufukara wa kutupa , hizi ndoto za mchana watu wanaota sio bure
 
Ila kwanini Mbowe asipishe kama kweli anakipenda chama chake?
Ningekuwa mwanachama wa CHADEMA, hapa mwenyekiti ningemtuhumu kufanya conspiracy ya kukisambaratisha chama ksirisiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…