Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Hao ndio madalali wa ccm wenyeweWao wangeungana na Act Wazalendo bado wangefanya vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio madalali wa ccm wenyeweWao wangeungana na Act Wazalendo bado wangefanya vizuri
Ni Makubaliano tu, mbona Mrema alipewa Uenyekiti Nccr😂Lissu atataka kuwa mwenyekiti wa CHAMA ,ACT watarudia Uchaguzi?
CHADEMA kwisha kabisa 🤣🤣🤣Wasalaam, JF.
Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla ya kuanza harakati Tanzania nzima.
Tayari baadhi ya watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof Safari, Boniface Mwambukusi, John Heche, John Pambalu, Godbless Lema, wanatajwa kuwa Viongozi wa awali wa Chama hicho ambacho bado jina lake halijajulikana.
Mkakati huu unakuja baada ya Katibu Mkuu wa CHADEMA John John Mnyika kukataa kuendelea kukaa ofisi kwa madai kwamba kazi zote za Katibu Mkuu anafanya Mpwa wa Mbowe ndugu John Mrema akisaidiwa na Bw Reginard Mtumishi ambae ni mjomba wa Freeman Mbowe.
Mkakati uliopo leo CHADEMA ni Freeman Mbowe kugombea tena nafasi ya Uenyekiti wa chama kwa mara ya nne mfululizo ukiacha mara mbili alizokuwa mwenyekiti kupitia BAVICHA na kufanya jumla ya mihula yote hiyo inamfanya Freeman Mbowe kuwa na miaka 30 kwenye uongozi wa CHADEMA bila kupisha yoyote kwenye uongozi Chama hicho.
Tundu AM Lissu ndio nembo pekee iliyosalia ndani ya CHADEMA ambayo imekuwa ikiibeba CHADEMA kama chama tangu kabla wakati na baada ya kupigwa kwake risasi 16 akiwa katika shughuli za kibunge Jijini Dodoma.
Kama Tundu AM Lissu ataihama CHADEMA basi huenda CHADEMA ikasalia kuwa kama CUF, NCCR na hata TLP kwa tayari imeshapoteza agenda yake ya Msingi ambayo ni kupinga Uzembe, Wizi na Ufisadi.
Tetesi za Mbowe kulamba asali ili aendelee kuwako CHADEMA kama Mwenyekiti ili kumdhibiti Tundu AM Lissu zimemlemea Mbowe na kuamua kurejesha Majeshi yake matiifu kutoka katika orodha ya Wabunge 19 waliofukuzwa.
Mbunge mmoja toka miongoni mwao jina tunalihifadhi anasema namnukuu "Halima ametuambia tusiendee CCM ila tumpambanie Mbowe awe mwenyekiti na Heche makamu ili amtoe Mnyika na Lissu ili turudi CHADEMA" mwisho wa kunukuu.
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali zinaunga mkono Lissu kuanzisha chama chake hicho kipya kwani CHADEMA tayari imechafuka na imekuwa ngumu kuitofautisha na Chama tawala cha CCM kimaadili na kimwenendo na hivyo kupoteza tafsiri ya neno "Upinzani"
Tundu AM Lissu anasifika kwa kukemea rushwa na ufisadi ndani na nje ya CHADEMA waziwazi na ndio turufu pekee inayomfanya azidi kuaminika na kipendwa zaidi na Watanzania hasa wa tabaka la chini.
Kitendo hicho kinampa wakati mgumu zaidi Mwenyekiti wa Sasa Freeman Mbowe ambae Uadilifu wake na nyendo zake hasa awamu hii ya sita zinamashaka mengi kutokana na tuhuma nyingi za ulambaji wa asali kwa maeneo na nyakati tofauti tofauti.
Mbowe anaamini mfumo sasa uko tayari kupeleka dola CHADEMA wakati Lissu anaamini mfumo ndio CCM na CCM ndio mfumo wenyewe.
Lissu anaamini katika kutwaa dola kupitia Wananchi wakati Mbowe anaamini katika kutwaa dola kupitia mfumo au dola yenyewe.
Kitendo cha Lemma kujitoa katika kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Kanda ya Kask ni ishara inayoakisi ninachokiandika hapa kwani ni dhahiri ananga'tuka CHADEMA na kuelekea kwenye hicho chama jipya,
Tanzania inahitaji upinzani safi sio bora upinzani, ndio maana waliwakataa CUF, wakawakataa NCCR na hivyo hivyo wakafanya kwa TLP na leo hii ni zamu ya CHADEMA kukataliwa wazi wazi
CHADEMA ndio chama Cha upinzani kinachomiliki mwenyekiti mmoja kwa miaka 30 huku wakiranda randa kuomba katiba mpya kwa wananchi wakati katiba yao inamatundu kama chekecheo.
Acha maneno mengi Jenga hoja kwenye madaHivi kuwa senior member inatakiwa uwe umetimiza vigezo gani.. from Tuesday to This someone has become senior member. It is baffling.
Mbona lisu siyo mwadolifu. Hicho chama hakitakuwa na mvuto ni extrnsion ya ulaji tuWasalaam, JF.

Halafu atakula vipi ruzuku unadhani hela mchezoIla kwanini Mbowe asipishe kama kweli anakipenda chama chake?
ACT ndio habari ya mjini. Kadi yake imeshatayarishwa huko.Lisu anaweza ama kurudi NCCR au ahamie ACT wazalendo lakini siyo kuanzisha chama kipya
Hii ndio dilema nyingine.Kuna watu wazito sana umewataja na wenye maadili
Hawawezi kuongozwa na mtu mwenye mitusi, mropokaji na asiye na agenda zaidi ya uanaharakati
Huyu ni mpwa ama mkwe wa Mbowe?Mpwa wa Mbowe ndugu John Mrema
Ukiwa na jicho la tatu, kitendo Cha Lissu kufanya Ziara kivyake (sio kitaasisi) Kuna jambo (movement) na ndio maana msigwa kakimbia kuunganae. Muda utaongeaWasalaam, JF.
Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla ya kuanza harakati Tanzania nzima.
Tayari baadhi ya watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof Safari, Boniface Mwambukusi, John Heche, John Pambalu, Godbless Lema, wanatajwa kuwa Viongozi wa awali wa Chama hicho ambacho bado jina lake halijajulikana.
Mkakati huu unakuja baada ya Katibu Mkuu wa CHADEMA John John Mnyika kukataa kuendelea kukaa ofisi kwa madai kwamba kazi zote za Katibu Mkuu anafanya Mpwa wa Mbowe ndugu John Mrema akisaidiwa na Bw Reginard Mtumishi ambae ni mjomba wa Freeman Mbowe.
Mkakati uliopo leo CHADEMA ni Freeman Mbowe kugombea tena nafasi ya Uenyekiti wa chama kwa mara ya nne mfululizo ukiacha mara mbili alizokuwa mwenyekiti kupitia BAVICHA na kufanya jumla ya mihula yote hiyo inamfanya Freeman Mbowe kuwa na miaka 30 kwenye uongozi wa CHADEMA bila kupisha yoyote kwenye uongozi Chama hicho.
Tundu AM Lissu ndio nembo pekee iliyosalia ndani ya CHADEMA ambayo imekuwa ikiibeba CHADEMA kama chama tangu kabla wakati na baada ya kupigwa kwake risasi 16 akiwa katika shughuli za kibunge Jijini Dodoma.
Kama Tundu AM Lissu ataihama CHADEMA basi huenda CHADEMA ikasalia kuwa kama CUF, NCCR na hata TLP kwa tayari imeshapoteza agenda yake ya Msingi ambayo ni kupinga Uzembe, Wizi na Ufisadi.
Tetesi za Mbowe kulamba asali ili aendelee kuwako CHADEMA kama Mwenyekiti ili kumdhibiti Tundu AM Lissu zimemlemea Mbowe na kuamua kurejesha Majeshi yake matiifu kutoka katika orodha ya Wabunge 19 waliofukuzwa.
Mbunge mmoja toka miongoni mwao jina tunalihifadhi anasema namnukuu "Halima ametuambia tusiendee CCM ila tumpambanie Mbowe awe mwenyekiti na Heche makamu ili amtoe Mnyika na Lissu ili turudi CHADEMA" mwisho wa kunukuu.
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali zinaunga mkono Lissu kuanzisha chama chake hicho kipya kwani CHADEMA tayari imechafuka na imekuwa ngumu kuitofautisha na Chama tawala cha CCM kimaadili na kimwenendo na hivyo kupoteza tafsiri ya neno "Upinzani"
Tundu AM Lissu anasifika kwa kukemea rushwa na ufisadi ndani na nje ya CHADEMA waziwazi na ndio turufu pekee inayomfanya azidi kuaminika na kipendwa zaidi na Watanzania hasa wa tabaka la chini.
Kitendo hicho kinampa wakati mgumu zaidi Mwenyekiti wa Sasa Freeman Mbowe ambae Uadilifu wake na nyendo zake hasa awamu hii ya sita zinamashaka mengi kutokana na tuhuma nyingi za ulambaji wa asali kwa maeneo na nyakati tofauti tofauti.
Mbowe anaamini mfumo sasa uko tayari kupeleka dola CHADEMA wakati Lissu anaamini mfumo ndio CCM na CCM ndio mfumo wenyewe.
Lissu anaamini katika kutwaa dola kupitia Wananchi wakati Mbowe anaamini katika kutwaa dola kupitia mfumo au dola yenyewe.
Kitendo cha Lemma kujitoa katika kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Kanda ya Kask ni ishara inayoakisi ninachokiandika hapa kwani ni dhahiri ananga'tuka CHADEMA na kuelekea kwenye hicho chama jipya,
Tanzania inahitaji upinzani safi sio bora upinzani, ndio maana waliwakataa CUF, wakawakataa NCCR na hivyo hivyo wakafanya kwa TLP na leo hii ni zamu ya CHADEMA kukataliwa wazi wazi
CHADEMA ndio chama Cha upinzani kinachomiliki mwenyekiti mmoja kwa miaka 30 huku wakiranda randa kuomba katiba mpya kwa wananchi wakati katiba yao inamatundu kama chekecheo.
Nimeamini watz tunachangamoto sana kama sio ufukara wa kutupa , hizi ndoto za mchana watu wanaota sio bureWasalaam, JF.

Salama ya Lissu ni kwenda CCM.Lisu anaweza ama kurudi NCCR au ahamie ACT wazalendo lakini siyo kuanzisha chama kipya
Ningekuwa mwanachama wa CHADEMA, hapa mwenyekiti ningemtuhumu kufanya conspiracy ya kukisambaratisha chama ksirisiriIla kwanini Mbowe asipishe kama kweli anakipenda chama chake?